#worldkiswahiliday
Ikumbukwe kwamba shirika la Ummoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni @UNESCO katika mkutano wao mkuu wa 41, waliazimia kwamba kila tarehe 7 mwezi wa 7 kuwa siku maalumu ya #kiswahili duniani #sikuyakiswahiliduniani
@Eakc_kiswahili
Like
Comment
Share